Muachane kistaarabu tu

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Kama mtu humpendi hebu jitahidi muachane kistaarabu bila kuleteana shida yeyote au madhara kwenye maisha haya tunayoishi.

Kama ni mwanaume anadai mahari yake mrudishie msije kuumizana bure kama ni mwanamke anadai mahali kwa mumewe apewe ili muachane kistaarabu kila mtu aangalie maisha yake.

Baadhi ya wanaume tabia mbovu na zisizofaa pamoja na kuiga mambo ya kijinga yanachangia sana kuharibu ndoa zenu.

Kuna mdada mmoja tukifahamiana katika maswala ya kibiashara Mungu akajalia tukawa marafiki wakubwa tu.

Mdada huyo ameolewa na anawatoto wawili lakini hakuwa na furaha katika ndoa yake kutokana na maelezo ambayo alikuwa ananipa.

Baada ya kujifungua mtoto wake wa pili ambaye anamiaka 2 kwa sasa usiku wakati wa tendo mumewe akamuomba kufanya mapenzi kwa njia ya nyuma (kumfila yani). Huyo mdada akakataa na tangu siku hiyo hakumpa unyumba mumewe hadi sasa mwezi wa tano huu.

Baada ya kuombwa kwa mpalange binti akaenda kumshitaki kwao na mwanaume akasemwa yakaisha wakiwa chumbani mwanaume akamwambia si umenisemea sasa utaona.

Baada ya kauli hiyo mwezi desemba mwaka jana binti akaamua arudi kwao na hapo ndipo tatizo lilipoanza. Binti akaanza kuumwa alipopata nafuu akafata vitu vyake kwa mumewe vitu hata hakuchukua akazidiwa ndugu zake wakamfata na kuanza kuhangaika naye.

Mdada wa watu anaumwa hadi sasa na wameenda hospitalini ugonjwa huonekani kuona hivyo ikabidi ndugu zake wahamie na upande wa pili.

Jibu walilopewa mumewe amemroga ili binti asifanye kitu chochote maana anaringa sana akapewa dawa akapata nafuu lakini bado mwili wake hauna nguvu vizuri kila kitu hadi afanyiwe na kwa huyo mganga kawaambia yeye uwezo wake umeishia hapo watafute mwingine maana hiyo shughuli ya hapo ni nzito.

Kwa maelezo yake kabla ya kuumwa wakati bado tunafanya biashara ni kwamba mumewe ni mshirikina sana pia anamichepuko ya kutosha kiasi kwamba wengine ashawahi kuwafumania ndani kwenye chumba wanacholala wakipeana utamu.

Mimi nikamshauri yafuatayo
~Wakaongee na mumewe kama inawezekana hilo swala walimalize.
~kama ishu ni mahali yake basi wamrudishie waishi kwa amani.
~kama bado hataki watangangaze vita na yeye ili kama huyo binti akifa na mwanaume naye afe.

Kama huamini katika ushirikina sawa lakini hii nasema kwa wote kama hampendani achaneni kistaarabu tu kuliko kuumizana.

MREJESHO
~Mumewe ametoa talaka moja na huyo mwanamke anaendelea na maisha yake kwa sasa bado talaka 2
 
Kama mtu humpendi hebu jitahidi muachane kistaarabu bila kuleteana shida yeyote au madhara kwenye maisha haya tunayoishi.

Kama ni mwanaume anadai mahari yake mrudishie msije kuumizana bure kama ni mwanamke anadai mahali kwa mumewe apewe ili muachane kistaarabu kila mtu aangalie maisha yake.

Baadhi ya wanaume tabia mbovu na zisizofaa pamoja na kuiga mambo ya kijinga yanachangia sana kuharibu ndoa zenu.
Karibu na dereva kabisa
 
Kwa nn binti atoe siri ya ndoa nje ili aonekane mwema au we umeshakataa basi unaendelea na mambo mengine matatizo mengine mnayataka wenyewe.
 
Back
Top Bottom