Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 60
Nimewakumbuka sana wana jamvi hope mko poa na mnaendelea na majukumu zenu za kila siku nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote waliopoteza wapendwa wao na wale wote walifikwa na magonjwa tofauti niwape tu moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ALLAH awape wesi na nguvu warejee ktk hali zao za kawada na waweze kuendelea na majukum yao ya kila siku