Mtwara: Soko Kuu la Masasi laungua moto

Mtwara: Soko Kuu la Masasi laungua moto

bathi ya watu apo ni maisha na mfumo wote unabadilika jamani majanga yana uwaga sana mbio za watu maishani daah... wana mtwara poleni sana. na gesi menyanganywa pakukimbilia ni wapi sasa. poleni wa kumbwa .
 
Soko kuu linalotegemewa na wakaazi wa masasi kupata mahitaji yao ya kila siku na maduka mbalimbali lililopo sehemu za mkuti limeteketea kwa moto kuanzia usiku wa saa 4 usiku huku kukiwa hakuna msaada wa zima moto,wilaya ya masasi inategemea gari la zima moto la uwanja wa ndege uliopo masasi mjini.
 
Hakuna liliharibiwa na wananchi wenye hasira kwenye maandamano ya chadema mwaka jana.

Acha UWONGO wew, hakuna maandamano yoyote ya chadema yaliyowahi kufanyika hapa masas. Zaidi tu mwaka 2013(sio mwaka jana km unavodai wew) wananchi wote wa mtwara ikiwemo Masas walifanya vurugu bila kujal Itikat za vyama kudai GESI ilitoke
 
Gari ya zima moto lipo halmashauri ya mji ni wazembe tu hawana maji na uSiku hawafanyi kazi
 
Hakuna liliharibiwa na wananchi wenye hasira kwenye maandamano ya chadema mwaka jana.
Zile Fedha za ESCROW mlizogawana kwenye magunia pale Stanbic zingetosha kununua japo magari kadhaa ya zimamoto na kuyasambaza katika Halmashauri za wilaya. Ni halmashari za wilaya chache sana zenye huduma hii, tena yawezekana HAKUNA kabisa.
 
Zitto Kabwe Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mapema leo aliwatembelea wafabyabiashara wa soko la Mkitu mjini Masasi na kuwapa pole kwa maafa ya moto, Moto huo ulianza kuwaka mida ya saa 2 usiku na kuteketeza soko lote.

Wafanyabiashara wa Mtwara wamepata hasara kubwa sana ya kuunguliwa mali zote.

Mzalendo Zitto aliungana nao umalizaji wa kuzima moto na kuwasihi wajiunge na mifuko ya hifadhi ya jamii itakayokuwa inawasaidia kwenye majanga haya pindi yanapotokea mifuko hii inawafidia hasara zao.

Walipata moyo na wengine walisikika wakinongona huyu ndio kiongozi anayefaa hapa Tanzania
 

Attachments

  • 1435236053876.jpg
    1435236053876.jpg
    104.7 KB · Views: 149
  • 1435236074545.jpg
    1435236074545.jpg
    87.8 KB · Views: 136
  • 1435236136465.jpg
    1435236136465.jpg
    83.8 KB · Views: 135
  • 1435236170676.jpg
    1435236170676.jpg
    77.6 KB · Views: 126
  • 1435236197486.jpg
    1435236197486.jpg
    85.8 KB · Views: 121
Subiri bavicha waje na povu ngoja nikanunue kwanza vocha
 
Kwa hisani ya Mcubiki naweka picha











11402963_1152418201438893_3751498676371728800_n.jpg



Palifanyika mkutano mkubwa wananchi wapaswa kufahamu
 
Naomba kuuliza Kuna uhusiano gani wa ziara za Zitto na ajali? Maana kila akianza ziara ajali zinatokea sana!
 
Kuna mambo matatu tanzania hii tumeshindwa kuyatatua nayo ni kuungua kwa masoko, ajari za barabarani na mauaji holela ya watu. Tangu masoko kadhaa ya mbeya yaungue, Mchikichini na Mtambani n.k hatujapata chanzo cha kuzuia moto huo????
 
Inasemekana moto ni mkubwa sana na chanzo inasadikika ni shoti ya umeme lakini kwa aliyekaribu zaidi atupe news zaidi
Hivi kama tatizo ni shoti ya umeme,Tanesco wamekuwa wakikwepa sana upande wao kesi za namna hii kweye kulipa fidia.
Ila kuna siku nilisikia kipindi cha TANESCO kwamba wanalipa fidia,sasa sijui ni sie wenyewe kuto kujua au ni wao tu walikuwa wanauza sura tu kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom