Mtwara - Mwaka 2020...??

Mtwara - Mwaka 2020...??

Mu-Israel naangalia hii hadithi yako halafu narejea kwa wana Mtwara walio katika harakati za kutaka uwazi wa mikataba ya gesi, nahisi wanasukumwa na kiu ya haraka ya maendeleo kwa kua na Taswira hizo!

Miaka 7 ni muda mchache sana kwa miradi mikubwa kama hiyo kutekelezwa. Na itoshe kusema, hiyo michoro sio ya mji wa Mtwara....lakini naheshimu mawazo yako bro!

Safi sana Mkuu,
Ujajua kwa hali tuliyonayo sasa hapa Tanzania, tunatakiwa tuweke malengo ya 'ukweli'.
Maana, bila hivyo, kila siku tutaambiwa eti sisi 'nchi maskini' ..!!
wakati tuna mali asili kibao..!!
 
tukumuongezea muda wa kutawala I see bwagwa moyo in that
 
kwakweli akili yako ww ni ndoigo sanaaaa.yani ukashindwa kujua kuwa mtwara hakuna milima matokeo yake umeleta picha yako ya propaganda za kijinga humu.shame on you.
 
Hakuna lisilo wezekana,2030 itawezekana ikiwa magome yalishong'olewa
 
Kandoto kako kazuri aisee! kwanini umeamka mapema? Endelea kulala utaota mengine mazuri kuliko hayo.
 
Back
Top Bottom