Mtwara mpya 2030


Sikuzaliwa nimeanzia maisha hapo, ila nakwambia chakula kipo muda woote.
 
tuache ukabila... umimi na siasa.... kiukwel mtwara ni mkoa no. 1 unaokua kwa kasi kuubwa saaana Tanzania ukifuatiwa na dodoma km sikosei..... sio gesi tu... wana bandari kubwa.. airport kubwa... mazao ya kipekee (korosho).. kilo sh 3800.. na wakulima wa kawaida kuvuna gunia 2000 baada ya miez 9 ni kawaida... tourism sites.. bahari... n.k lazima tu watakua na maendeleo ya haraka ...
 
Dah..sasa povu la nini??...Mtaendelea kushika pembe tu...goma wanakula wengine.....peleka midogo yako shule bana...😎😎
 
Nijuavyo mimi, mara nyingi jikoni ndio kunakojaa moshi, joto, mabaki na vyombo vichafu.
Dinning room pale sasa, ndio penyewe.

Tafsiri unavyoweza.
 
Dah..sasa povu la nini??...Mtaendelea kushika pembe tu...goma wanakula wengine.....peleka midogo yako shule bana...😎😎
Naona umepotoka. By the way Mungu katusaidia, shule tumeenda, kwa hilo namshukuru Mungu. Na kwa sababu hiyo hisia zako za uongo tunazikataa kwa mifano hai, na siyo wivu ulio nao. Ulitaka watu waendelee kuwa dhalili, lakini Mungu ni mwema kuna neema sana kuliko maeneo mengi.
 
Nyie hangaikeni tu lkn 1st itabaki kua 1st, urasimu ndio ulioipoteza tanga kwenye raman na enzi hio ulikua ukiongelea miji mikubwa na inayokua kwa kasi tanga ndio ilikua the best, ss nyie hangaikeni lkn tanga kwa hio miaka mnayo isema dar itakua cha mtoto.
 
WANATAPATAPA SASA KUONA ECONOMIC BOOM IKO KUSINI....

Ukweli ni kwamba TANZANIA KWA SASA DRIVING FORCE YAKE IKO KUSINI... GAS, OIL + URANIUM VYOTE VIKO KUSINI.. BEACH NZURI ZIPO KUSINI.. HATA MBUGA TUNAYO ILE YA SELOUS.. BANDARI YENYE KINA KIREFU CHA ASILI AFRIKA MASHARIKI NA KATI IPO KUSINI PIA... ARDHI NZURI YA KILIMO IPO PIA TEMBELEA SONGEA UJIONEE.. MADINI NENDA TUNDURU NA RUANGWA... NA KWA NAMNA YOYOTE TUNAENDA KUWA MOJA YA KATI MIJI MIZURI ZAIDI AFRICA KWA MIAKA KADHAA IJAYO...

NAJIVUNIA KUTOKEA KUSINI..
 
Labda unaongelea maendeleo ya kuongeza wake kisa tu korosho imekubali! Mtabakia hapo hapo! Nendeni shule acheni hizi siasa za kudanganywa.. Mtatoa sana gesi ila watafaidi watu wenye akili zao, nendeni mkawaulize shinyanga wanatoa almasi tangu enzi za mkoloni ila wamepauka tu!
 
Gesi ya Mtwara itaifanya Mtwara kukua ifikie japo Mkoa wa Mwanza..
 
Nilijua unajivunia kua ges kumbe kutokea kusini, unafikiri watu kuwekeza kwenye ardhi yenu ndio kuijenga, yy anatafuta chake baadae anasepa nyie mnabaki na magofu, fanyen kaz achen kutegemea watu waje ndo muamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…