Acha ujinga.. tatizo umekariri au kukaririshwa kuwa eti watu wa kusini hawana elimu.. sasa endelea kukariri hivyo hivyo na mwisho wa siku hamtokaa mtoe kiongozi yeyote mkubwa nchi hii.. Wengi wana elimu zaidi yako.. Mtakuja kunikumbuka haya nayosema kuwa ZAMA ZA KUTEGEMEA KAHAWA NA CHAI HAZINA NAFASI... WATU WANAELIMU NZURI SANA TENA KTK ISHU ZA SAYANSI..Dah...ujinga mtupu...peleka midogo yako shule.....bila hivyo wataishia kuwakaangia wageni chips na kujiuza...
aliyepo kwani sio rais..?Subirini siku mkipata rais.
Aliyepewa kapewa tu na huzidi kuongezewa wee subiri uje mkimbizwe na wachaga, wanyakyusa na wahaya humo kama wazaramo wa dar walivyokimbizwaKwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.
Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.
Uzuri wake nimekaa Mtwara na nimefanya kazi katika Oil and Gas zaidi ya Tanzania kwa hiyo naandika ninachokifahamu Afrika regarding Oil and Gas na Impact yake katika jamii...kimaendeleo. Wewe endelea kuzubaishwa na maneno ya wanasiasaPovu la nini sasa... we gonna reach there blv me.... MTWARA is the new hope to TANZANIAN... most of northen people trying to think that they're so much better than those who comin' from southern regions.. Ukweli ni kwamba now days kanda zenu zimekaa na hazitainuka hadi pale kusini kutakapokuwa kama ULAYA.... Endeleeni kudeal na historia... ndo tunawaacha hivyoooo... we're growin' higher.... NASISITIZA UCHUMI WA KUTEGEMEA TUMBAKU, KAHAWA NA CHAI UMEKWISHA... Ni muda wetu wa kushine.... najua kaskazini walitamani wapate hata bahari ili nao waweze pata BANDARI.. Duh sasa mtulie dawa iwaingie taratibuuuu...
Kwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.
Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.
Hiyo hiyo... we huoni kama kuna ka mwelekeo kabisa..??Mkuu unaizungumzia Abu Dhabi ya wapi?
Hii ndio Abu Dhabi yenyewe!
View attachment 447293 View attachment 447294 View attachment 447295 View attachment 447296
Kijana ulikuwa kampuni gani tuanzie na hapo...Uzuri wake nimekaa Mtwara na nimefanya kazi katika Oil and Gas zaidi ya Tanzania kwa hiyo naandika ninachokifahamu Afrika regarding Oil and Gas na Impact yake katika jamii...kimaendeleo. Wewe endelea kuzubaishwa na maneno ya wanasiasa
Kumbuka mtwara sio madini ni nishati.. Alafu unaweza nitajia nchi TAJIRI DUNIANI KWA SABABU YA MADINI?? Ukizitaja hizo taja nchi tajiri kwa uwepo wa Mafuta na gesi... ni rasilimali tofauti kabisaa na hata matumizi hayafanani.. kwa kifupi kiuchumi GOLD tunaweka katika kundi la LUXURY GOODS... kwa maana hata usipotumia huwezi athirika.. bt OIL & GAS usipotumia basi lazima uwe masikini wa kutupwa.. na hapa ndipo tulipo sasa.. tuanze kutumia gesi na mafuta kukomboa nchi yetu.. Madini hata Zambia na DRC yapo na hakuna maendeleo..Angalia Geita, Mererani, Mwadui na sehemu nyingine kuna nini tangu madini yagunduliwe! Sasa nashangaa kutegemea maajabu Mtwara
Hiyo hiyo... we huoni kama kuna ka mwelekeo kabisa..??
Nadhani hujanielewa...nimetoa mfano tu. My point ni kwamba hakutakuwa na Lolote la ajabu Mtwara kama wengi mnavoaminishwa. Tusubiri Tuone.Kumbuka mtwara sio madini ni nishati.. Alafu unaweza nitajia nchi TAJIRI DUNIANI KWA SABABU YA MADINI?? Ukizitaja hizo taja nchi tajiri kwa uwepo wa Mafuta na gesi... ni rasilimali tofauti kabisaa na hata matumizi hayafanani.. kwa kifupi kiuchumi GOLD tunaweka katika kundi la LUXURY GOODS... kwa maana hata usipotumia huwezi athirika.. bt OIL & GAS usipotumia basi lazima uwe masikini wa kutupwa.. na hapa ndipo tulipo sasa.. tuanze kutumia gesi na mafuta kukomboa nchi yetu.. Madini hata Zambia na DRC yapo na hakuna maendeleo..
OphirKijana ulikuwa kampuni gani tuanzie na hapo...