Mtwara mpya 2030

DINHO

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
884
Reaction score
1,761
Kwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.

Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.
 
We ota ndoto zako tu hizo....kinachoendeleza sehemu ni akili za watu waliopo wala sio magesi yenu hayo...msipotumia akili yatabebwa yote kwenda kuendeleza mahali pengine, kusini inaweza kubaki sehemu ya field kwa ajili ya wasomi kufanyia internship
 
Mbona unatoa mipasho kama unaimba taarabu? Au ww ni mzee yusuph umehamia huku?
 
Wewe n mchochez kakojoe ukalale kwan huon Chato na kanda ya ziwa wanavyopendelewa huongei peleka akili yako ya kinyumbu Afu kwa taarifa yko watu kutoka kanda ya kask ndo waliowekeza katka majiji na mikoa iliyoendelea yan umeongea mbolea na afadhal mbolea Roughage Sewage Hpo chai inahusikaje km ww c mchochez afu watu wa Kask hawategemei hvyo tu n mafighter kila kona wamekaba kama pele
 
Hiyo Rig Ship hapo juu inaitwa Discovery Americas (DAS) imechimba ikamaliza imeshaondoka...picha inayofuata ni Rig Platform. na Picha nyinne ya hapo Beach ni Mnazi Bay Msimbati beach pekee nzuri kwa maeneo ya Mtwara ambayo ni Marine Reserve! Sasa hivyo visikupe mihemko ya kutegemea mazuri mkoani Mtwara. mMtwara bado iko nyuma sana haswa watu wake maana mpaka leo zaidi ya asilimia hamsini ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita mkoani mtwara si wenyeji wa Mtwara!
 
Povu la nini sasa... we gonna reach there blv me.... MTWARA is the new hope to TANZANIAN... most of northen people trying to think that they're so much better than those who comin' from southern regions.. Ukweli ni kwamba now days kanda zenu zimekaa na hazitainuka hadi pale kusini kutakapokuwa kama ULAYA.... Endeleeni kudeal na historia... ndo tunawaacha hivyoooo... we're growin' higher.... NASISITIZA UCHUMI WA KUTEGEMEA TUMBAKU, KAHAWA NA CHAI UMEKWISHA... Ni muda wetu wa kushine.... najua kaskazini walitamani wapate hata bahari ili nao waweze pata BANDARI.. Duh sasa mtulie dawa iwaingie taratibuuuu...
 
Dah...pita kwenye miradi inayoendelea..angalia engineers, accountants na wataalam wengine kama yupo kaka/dada yako....bora mwizi kuliko mbaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…