Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Waacheni wananchi wachome "vibanda" mji utakuja kuwa hivi!
Ili ajionee maajabu ya Dunia!Nyerere atafufuka!
Huko POSTA anakokaa Vasco Dagama kumewashinda na kunanuka MAVI mpaka aibu sembuse MTWARA!Waacheni wananchi wachome "vibanda" mji utakuja kuwa hivi!
![]()
Waacheni wananchi wachome "vibanda" mji utakuja kuwa hivi!
![]()
Huko POSTA anakokaa Vasco Dagama kumewashinda na kunanuka MAVI mpaka aibu sembuse MTWARA!
Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma imeshindwa kuwa hivi, iwe Mtwara. Baada ya miaka mingapi ?
Amini usiamini ndio ukweli wenyewe........gesi isipotoka Mtwara kutakuwa hivyo! VD anataka badala yake KIWANGWA ndio kuwe hivyo na sio MAGOGONI bana!
Provided gas haitoki........mbona Kigali imewezekana kujaribu na kuthubutu? Nyie mlizowea Mtwara ni SINDIMBA tu!
[/QUOTE![]()
Kigali nako walikuwa wabinafsi wa kuzuia gas kutoka ? Au rasilimali wanapata kutoka kwa Mdogo wao.
Mbogo anakuna Nyeti zake
​Sio nyerere tu hata mimi nitafufukaNyerere atafufuka!
Sasa hapo panya wata patikana vipi?
naona viongozi wote wa serikali watakimbilia huko
itakuwa kitoweo kwa nmatajiri tu, bei itatisha!Usijali......hata panya nao watafugwa "kimtoni"
![]()