Baada ya kugundulika gesi mtwara pamoja na mafuta kulikuwa na kampuni za kigeni nyingi zikifanyia tafiti, kampuni hizi ziliajiri raia wengi wa kigeni kutoka south Africa, Nigeria, Zambia , Zimbabwe na wazawa pia .
Alstar ilijikita pale bandarini mwisho wa siku ikafungasha virago.
Hizi kampuni zilichangia kiasi kikubwa wafanyabiashara wazawa pia kuingia mtwara kuaza kuwekeza Ilhali hizi kampuni zingekuwepo mpaka leo mtwara ungekuwapo Kati ya miji mitamu Sana nchini Tanzania.
Mwendazake kauharibu huu mji kwa kiwango kisichoelezeka.