Mtwara kuna nini mpaka ipoe miaka ya hivi karibuni?

Mtwara kuna nini mpaka ipoe miaka ya hivi karibuni?

Hakuna kitu huko Mtwara kuchere ni makelele tuu unatupigia hapa.

Mbeya ndio ina potential kuliko miji mingi hiyo ya Pwani.
 
Mtwara ilianza kuamka sana kiuchumi lakini tangu mwendazake aingie mambo yamebadilika kabisa , yaani alipogeuza gia angani kupeleka kila kitu chattle na kuua miradi ya gesi ntwala ndio baaaasi tenaaaaaaaaaaa
 
Ndio maana napenda nikiona mama anachanja mbuga Ulaya Afrika kokote aende ila tuu alete wawekezaji na pesa
 
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia idadi ndogo ya watu kuliko kipindi cha miaka ya 2014 nilipokuja mara ya mwisho Mtwara.

Biashara nyingi zimefungwa, vyuo vimepunguza udahili na pia maeneo mengi yapo kimya kuliko kawaida.

Mtwara ni moja ya miji yenye potential kubwa sana Tanzania. Kama kuna mkoa ulitakiwa kuwa vizuri baada ya Dar, Mwanza, Arusha na Tanga basi ni Mtwara a.k.a Gas city

Nini kinaendelea kuifanya Mtwara ipoe?
Mwendazake alipoingilia biashara huria
 
Chuki,rohi
Bila kusahau kuliua jiji la DSM ambalo ndilo kubwa lao la Upinzani. Hakika ndugu yule alikuwa mtu wa chuki na visasi. Hivi kwa maendeleo ya mkoa wa DSM na uchangiaji wake kwenye pato la Taifa unaweza kulivunja? Jiji la miaka nenda Rudi? Jiji la historia? Akaacha Ilala iwe jiji kwa kuwa Ikulu iko Manispaa ya Ilala. Maeneo ya Kinondoni, Ubungo, Kawe, Kibamba kote ni Fire. Kigamboni alimanusura. Mimi ni .CCM lakini kwa kuwa tuliruhusu upinzani sioni sababu ya kuwachukia maana hata ndugu zetu na majirani wapo ambao ni Wapinzani. Je tutawachukia na kuwatenga? Muhimu huwa tunapingana kwa hoja tukikutana na hatujawahi kuwa maadui. Nimefurahi kuwa Mh. Rais sasa watakaa meza moja na wenzetu Wapinzani. Mwisho wa siku sote ni Watanzania.
Chuki, roho mbaya visasi hasira uharibu moyo wa muhusika
 
haya jiwe keshaenda, nendeni na mamayenu mkajenge hiyo ntwara..wacheni porojo
 
Tatzo 2015 aliingia raichi alikula NTU WA DILI
 
Mtwara imeshindwa kuvutia wawekezaji.
Gas inasafirishwa kuja Dar na Pwani ambapo kuna miundombinu tayari.
Tulipewa ahadi za uwongo na wanasiasa
Nachoamini kuwa Lindi na Mtwara inaweza kuwa sehemu ya kuweka heavey industry Kwa Nchi yetu hii.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom