Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia idadi ndogo ya watu kuliko kipindi cha miaka ya 2014 nilipokuja mara ya mwisho Mtwara.
Biashara nyingi zimefungwa, vyuo vimepunguza udahili na pia maeneo mengi yapo kimya kuliko kawaida.
Mtwara ni moja ya miji yenye potential kubwa sana Tanzania. Kama kuna mkoa ulitakiwa kuwa vizuri baada ya Dar, Mwanza, Arusha na Tanga basi ni Mtwara a.k.a Gas city
Nini kinaendelea kuifanya Mtwara ipoe?