Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Mtunze mkeo Malaya hana shukrani

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.

Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.

Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.

Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!

Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
 
Na wawatunze kweli mi sibague wala sichagui..

Nakula.mshangzi, Nakula single maza Nakula wote kikubwa kipumue tu
giphy 25.GIF
 
Bora muambizane maana kuna wanaume ukiwakuta wanahudumia na kusifia michepuko yao utashangaa, na wakati huo huo mke anadharauliwa na anasemwa vibaya kila siku hadi unajiuliza alimuoa wa nini, halafu anatokea guluguja mmoja anakuambia heshima ya mwanamke ni kuolewa sasa unabaki kujiuliza ni ndoa hizi hizi au kuna nyingine..no wonder siku hizi wanawake wengi wako radhi wawe michepuko kuliko wake za watu maana wameshaona ukiwa mchepuko unafaidi kuliko ukiwa mke unaishia kubebeshwa mizigo tu!!
 
Mtu mwenyewe ushamuita malaya unategemea akupe nini kingine! !

Appreciate your women Bwana. If she's not your wife she's your sister. Don't defile our girls / women!

Men have a way of destroying the earth and society and acting completely unaware of who caused all the mess.
 
Siyo kwamba wako unaware of who caused all the mess bali wanakimbilia kuwatupia lawama zote wanawake hata kwa matatizo ya kujitakia wao wenyewe, imagine mwanaume mzima anahonga mwenyewe pesa na mali zake kwa sababu ya kuendekeza ngono na starehe halafu anamlaumu mwanamke kana kwamba alishikiwa bunduki, wana msemo wao eti mwanaume hatakiwi kulaumiwa anayetakiwa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye anayepata madhara sasa najiuliza hawa wanaume tunaowaona wanalalamika na kulialia kila siku kuhusu wanawake sijui ni wa sayari gani
 
Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.

Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.

Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.

Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!

Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
Ahsante mkuu kwa kunifikishia ujumbe kwa mume wangu " Yupo humu JF"
 
Malaya ana imani zawadi pekee ambayo anaweza kukupa ni pampuchi tu.

Hana kingine anachotaka kwako Zaidi Ya pesa.

Mkeo ndio Ambae unajenga nae familia na maendeleo binafsi.

Mtunze mkeo jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako....!

Nitatoa 10k kwa mtu Ambae atanitukana tusi jipya
📌📌🔨🔨

Jeuri yake ni matokeo ya ujinga wako
 
, na wakati huo huo mke anadharauliwa na anasemwa vibaya kila siku hadi unajiuliza alimuoa wa nini, halafu anatokea guluguja mmoja anakuambia heshima ya mwanamke ni kuolewa sasa unabaki kujiuliza ni ndoa hizi hizi au kuna nyingine..no wonder siku hizi wanawake wengi wako radhi wawe michepuko kuliko wake za watu maana wameshaona ukiwa mchepuko unafaidi kuliko ukiwa mke unaishia kubebeshwa mizigo tu!!
Ukiona mwanaume anamponda mkeo mbele yako wewe malaya wake jua anataka akutawanye mapaja akuache akahadithie wenzake kijiweni,amma kuhusu wanawake kuwa mchepuko inategemea wewe mwenyewe umejiweka kwenye angle gani!

Ukijitegesha style za kichepuko unakuwa mchepuko ukijitega style ya kuwa mke unakuwa mke so ni jinsi gani unavyojipa thamani utakuwa treated hivyo hivyo.
 
Ukiona mwanaume anamponda mkeo mbele yako wewe malaya wake jua anataka akutawanye mapaja akuache akaahadithie wenzake kijiweni,amma kuhusu wanawake kuwa mchepuko inategemea wewe mwenyewe umejiweka kwenye angle gani!

Ukijitegesha style za kichepuko unakuwa mchepuko ukijitega style ya kuwa mke unakuwa mke so ni jinsi gani unavyojipa thamani utakuwa treated hivyo hivyo.
Fact
 
Back
Top Bottom