Bavuvi
Member
- Mar 1, 2008
- 41
- 4
Part Time Housekeeper
Maelezo ya kazi
- Usafi wa ndani
- Kuandaa asubuhi chai na dinner tu
- Masaa 5 kwa siku (asubuhi 12 - 2.30) jioni saa 10 - 12), siku 6 kwa wiki.
- Mfanyakazi anaweza kufanya kazi hii huku akiendelea na shughuli nyingine, mfano masomo
- Familia ina watu watatu. Wote wana majukumu wakati wa mchana. Hivyo hakuna kuandaa lunch siku za J3-Ijumaa. Hakuna mtoto.
Sifa
- Form 4
- Mwenye elimu ya Housekeeping VETA atapewa Kipaumbele
- Awe anaishi maeneo jirani na Emmaus Ipagala (Mfanyakazi hataishi kwa Boss wake)
- Umri miaka 18+
Mshahara mnono. Unazidi mshahara elekezi wa serikali.
Mwenye sifa au anayemfahamu mtu mwenye sifa awasiliane nami kwa kuni-inbox.
Regards,