Labda jamaa aliona mbele ya safari kutakuwa na invoice.Mi ninavyojua unapoamua kuanzisha mahusiano na mwanamke kama huyu(mimi binafsi napenda kua na mwanamke wa aina hii)kama una akili timamu unatakiwa ujue kuwa unakua responsibo na mke pamoja na wanae huo ndio ukweli.Mwanamke ambae anajua thamani ya mtoto huwezi kumtenganisha na mwanae labda wawe wakubwa.So kama unataka uwe nae ni pamoja na wanae!Wanaume wanawakimbia hawa kutokana na hayo!
In other weds hakumtunuku ila yalikuwa matamanio tu?
Ngoja nimuulize,narudi sasa hivi.Kaka haya majina ulotumia mbona kama ya kweli bana na kisa chenyewe....Mmmmmmh......kuna watu wana majina haya na ni ndugu kweli na wako hivyo hivyo!!!!!!!!!!
Hapo kuna mawili
1. May be kweli jamaa kakimbia watoto na viambatanisho vyao kama vile life expenses
2. But walipokuwa wakila na kunywa Cindy alikuwa aki-potray characters gani in relation to the divorce or her lifestyles in general????
So yawezekana ni moja kati ya hayo au yote kwa pamoja
Unamshauri nini huyu dada,siku nyingine akipata mtu amfiche kuwa ana watoto na ni ex wa bishanga?
Lizzy sidhani kama umemuelewa vizuri Bishanga huyo Cindy hajalaumu kuhusu watoto wala divorce kilichotokea ni yeye kuongea na huyo mwanaume na baada ya hapo mwanaume akachanja mbuga! Hata ingekua mimi ningejiuliza kulikoni ina maana baada ya kujua kuwa ni mtaliki na ana watoto ndio kasoro mojawapo au?We utajasutwa wewe!!Mambo ya sijui kina Cindy unatoka nayo wapi???!
Nwy hamna mwenye uhakika kwanini huyo jamaa kakimbia zaidi ya yeye mwenyewe. Yawezekana baada ya maongezi aligundua kwamba uzuri wa Cindy unaishia kwenye sura tu na akaona 'ndo maana akapewa talaka' kwahiyo bora nae ajitenge mapema. Huyo Cindy anapaswa ajiangalie upya kabla ya kuanza kusingizia/laumu divorce na watoto.
In other weds hakumtunuku ila yalikuwa matamanio tu?
kwani we cindy unamjua?We utajasutwa wewe!!Mambo ya sijui kina Cindy unatoka nayo wapi???!