Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 159
- 353
Watumishi Wa umma (Walimu) nadhani Wana Hali ngumu kuliko!
Maskini Hadi huruma, yaani hawana mtetezi!
Mwalimu aliyeanza KAZI 2009, akakaa miaka minne (2013) akabahatika akapanda daraja. Huku akiendelea kupambana na Hali yake bodi ya mikopo ikafyeka 15%.
Hiyo sio ishu Sana lakini alitakiwa baada ya miaka mitatu (2016) apande daraja lingine lakini hola...2017 - hola!
Maana yake Ni kwamba ikiingia 2018 mtumishi huyu (mwalimu) anaingia mwaka Wa 5 bila promotion yeyote na bado anaendelea kutumikia huku maisha yanapanda na majukumu yanaongezeka.
Sio fair!