Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Ni matumaini yangu kwamba tunaimalizia weekend salama kabisa, hata kwa pipi na juice tutaishi tu. Kufa hatufi lakini cha moto tunakiona.
Kuna hawa wenzetu wanaofanya kazi kwenye serikali ya awamu ya 5, serikali ya Rais Dk JPM. Mambo yafuatayo ni kama wametoswa tu na yana siasa nyingi sana:-
1. Mishahara kutokupanda
2. Katazo la uhamisho
3. Madaraja na vyeo kutokupanda
4. Kukosekana kwa chai na magazeti maofisini
5. Magari ya kazi kukosa mafuta nk nk
Najiuliza tu mambo haya hapa chini:-
A. Fedha zinazobanwa matumizi zinaenda wapi?
B. Fedha za bajeti ya serikali iliyopitishwa bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/17 ziko wapi? Maana kule Halmashauri hazifiki.
C. Fedha zinazotokana na mkazo wa ukusanyaji kodi zinaenda wapi?
D. Misaada ya wahisani inaelekezwa wapi?
Ikumbukwe:
Fedha nzuri wanazolipwa watumishi ndizo hubadili hali ya hewa huko mtaani kwa maana ya mama ntilie, vinyozi, wakulima, bodaboda, na wengineo wengi waliojiajiri.