FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Hakuna hoja niliyoiona, nimeona kaja na maswali na kishajibiwa zamani, sasa tunamshindilia misumari tu.Acheni kupanic ,jibuni hoja. Takbirrr!! Hoja ndogo tu hizo mna panic mpaka basi ,hamkawii kujilipua. Kama mnaamini miujiza ya Mwenyezi Mungu kwanini mnahoji Mungu kutwaa ubinadamu, na nyie ndo mnatuambia majini yenu mnayofuga yanaweza kutwaa ombo lolote ,huenda la paka,mbwa au kiumbe kinginecho. Halafu mnapinga Mungu hawezi kutwaa mwili wa kibinadamu.Jitafakarini