Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,924
- 4,521
Mwisho wa Nabii Suleiman ulikuwaje? Nyinyi wagalatia Kazi Yenu kutukana manabiisulemani hakuwa na mwisho mwema. Naomba uzingatie hilo.
Mwisho wa Nabii Suleiman ulikuwaje? Nyinyi wagalatia Kazi Yenu kutukana manabiisulemani hakuwa na mwisho mwema. Naomba uzingatie hilo.
Hivi nyie hamna hata uwezo wa kupambanua mambo yaliyo wazi kabisa?!Kuna mahali popote imehalalishwa Sulemani kuwa na wake wengi?!Lakini Nabii Sulemani kuwa na Wake buku sio nongwa dahhh binadamu bana
Wewe akili zako niza kirofa kama wakristo wengi... mpinga kristo siyo mtu mmoja...mtu fulani ajaye kwenye kizazi fulani cha nyakati ...MPINGA KRISTO NI ROHO YA KUMWASI MUNGU ITAKAYO KUWA JUU YA WANADAMU KARIBU WOTE...YAANI MAANA YAKE 👉 DHAMBI ZITAKUWA KUBWA SANA DUNIANI , HIVYO YESU ANAKUJA KUHUKUMU DHAMBI .“Ndipo huyo mwasi atakapodhihirishwa, ambaye Bwana Yesu atamwangamiza kwa pumzi ya kinywa chake, na kumfanya awe si kitu kwa kufunuliwa kwa kuja kwake.” 2 Wathesalonike 2:8
Ni nongwa.Biblia inaonesha kabisa MUNGU hakupendezwa na hilo.Kwa kufanya hivyo alimuasi MUNGULakini Nabii Sulemani kuwa na Wake buku sio nongwa dahhh binadamu bana