Mtume Mohamed na Upendeleo wa Allah

Mtume Mohamed na Upendeleo wa Allah

Manabii kutoka wapi na manabij gani ? Manabii wa nyakati gani walio hai au walio kwisha kufa zamani? Nijibu nikuulize swali ?
Manabi na mitume wa Mwenyezi Mungu kuanzia Adam mpaka Isa (Yesu)
 
Kwa hiyo walikuja duniani kipindi cha muhammad? Walifufuliwa na Yesu alirudi tena mara ya pili duniani na kuondoka bila ya kufa na hatarudi tena mara ya 3 ...kwa maana ndani ya uislamu wanasema Issa atarudi tena duniani mara ya pili sasa kama alisha rudi kuswalishwa na muhammad je arudipo tena itakuwa mara ya ngapi ? HOJA YAKO IMEUNDA MASWALI MENGI NINAYO TAKA MAJIBU ? NA FAFANUZI
 
Hiyo ndiyo katika miujiza aliyopewa mtume Muhammad ni pamoja na kukusanyiwa mitume wote na kuwaswalisha hapo baytul Maqdis katika safari yake hiyo ya Israa. Na alipopandishwa huko juu (Miraj) alikutana na baadhi ya mitume mbalimbali akiwemo Isa na Yahya (Yesu na Yohana) katika uwingu ya pili.

Kushuka kwa mtume Isa hapa duniani, hii ni katika alama za mwisho wa dunia, kwani atashuka na kuishi pamoja na wanadamu wengine.

Katika Imani ya kiislamu hawaamini kama Yesu alikufa na kufufuka bali alinyanyuliwa kwenda mbinguni akiwa hai.
 
Unaelewa maswali au unaongea tu kama chizi ....sikukataa miujiza wala sijakataa kuwa kwa mujibu wa uislamu issa akufa bali alipelekwa mbunguni mzima ...maswali niliyo kuuliza ni haya je kumbe issa alisha rudi mara ya pili kutoka mbinguni aliko na kuja kuswalishwa na muhammad kwenye huo msikiti ? Je kwa hiyo issa baada ya kuswalishwa alipaa tena na kurudi mbinguni ? Swali je issa atakuja tena mara ya 3 siku ya dalili za kiama maana alisha rudi mara ya pili duniani na kukutana na muhammad na kuswalishwa ?
 
Unaelewa maswali au unaongea tu kama chizi ....sikukataa miujiza wala sijakataa kuwa kwa mujibu wa uislamu issa akufa bali alipelekwa mbunguni mzima ...maswali niliyo kuuliza ni haya je kumbe issa alisha rudi mara ya pili kutoka mbinguni aliko na kuja kuswalishwa na muhammad kwenye huo msikiti ? Je kwa hiyo issa baada ya kuswalishwa alipaa tena na kurudi mbinguni ? Swali je Ussa atakuja tena mara ya 3 siku ya dalili za kiama maana alisha rudi mara ya pili duniani na kukutana na muhammad na kuswalishwa ?
Sina ujuzi ni kuwa ni mara ya ngapi ya nabi Isa kuteremka duniani, lakini ninachoamini ni kuwa nabi Isa atashuka karibu na minara meupe mashariki mwa Damascus, amevaa nguo mbili zenye rangi ya njano nyepesi, akiegesha mikono yake juu ya mabawa ya malaika wawili, Kwa kushuka huku ndipo itakuwa ni miongoni mwa alama ya mwisho wa dunia.
 
Uliza nataka jibu kamili ...uliza kwa waislamu walio kufunza uislamu maana hoja yako ina maswali mawili na mimi nimekuuliza moja tu ...la pili linasema uislamu unasema kuwa mtu yoyote atakaje kuja na kujiita nabii au mtume baada ya kuja muhammad huyo ni kafiri yani mpotoshaji sasa hao manabii na mitume ambao walikuja duniani na kuswalishwa na mtume ...inakuwaje hii hoja kuna mtume na nabii zaidi ya muhammad kipindi cha muhammad? Je kama issa alikuja na kuswalishwa na muhammad na anaitwa mtume, dje ajapo mara ya 3 na hao malaika wawili kama ulivyo sema je atakuwa ni mtume? na kama siyo mtume utume wake alio ondoka nao umekwenda wapi? Mbona kwenye hiyo swala ya muhammad kuwa swalisha wanaitwa mitume na manabii ...je issa ajapo mara ya 3 ni mtume au la?
 
Uliza nataka jibu kamili ...ulizwa kwa waislamu walio kufunza uislamu maana hoja yako ina maswali mawili na mimi nimekuuliza moja tu ...la pili linasema uislamu unasema kuwa mtu yoyote atakaje kuja na kujiita nabii au mtume baada ya kuja muhammad huyo ni kafiri yani mpotoshaji sasa hao manabii na mitume ambao walikuja duniani na kuswalishwa na mtume ...inakuwaje hii hoja kuna mtume na nabii zaidi ya muhammad kipindi cha muhammad? Je kama issa alikuja na kuswalishwa na muhammad na itwa mtume je ajapo mara ya 3 na hao malaika wawili kama ulivyo sema je atakuwa ni mtume na kama siyo mtume utume wake alio ondoka nao umekwenda wapi? Mbona kwenye hiyo swala ya muhammad kuwa swalisha wana itwa mitume na manabii ...je issa ajapo mara ya 3 ni mtume au la?
Mitume waliokwisha tumwa, waliokusanywa kwa muujiza kwa heshima ya mtume Muhammad.
Na mtume alituambia, "Naapa kwa Yule ambaye nafsi yangu iko mkononi Mwake, karibu mwana wa Mariam atashuka kwenu akiwa hakimu mwadilifu.
Atavunja msalaba, ataua nguruwe, ataondoa jizya, na mali itakuwa nyingi kiasi kwamba hakuna atakayekubali sadaka".
Hakuna unabii wala utume baada ya mtume Muhammad.
Isa atakuwa NABII KWA HADHI, lakini SI MTUME KWA KAZI.
 
Lugha gongana ..mtu aliye kufa au kuondoka duniani akiwa na daraja ya utume huyo ni mtume tu mbinguni na duniani aijalishi kaja na nini ...mbona mitume ni mitume hadi mbinguni wanatambulika kuwa ni mitume ...kwani kuna utume mbinguni ....kama Issa aliondoka duniani hali ni daraja ya mitume kwa vipi apoteze hiyo daraja bila ya kutenda dhambi ? Nikiwaambia uislamu haujui hata mtume ni nini mtabisha ?
 
Lugha gongana ..mtu aliye kufa au kuondoka duniani akiwa naxdaraja ya utume huyo ni mtume tu mbinguni na duniani aijalishi kaja na nini ...mbona mitume ni mitume hadi mbinguni wanatambulika kuwa ni mitume ...kwani kuna utume mbinguni ....kama Issa aliondoka duniani hali ni daraja ya mitume kwa vipi apoteze hiyo daraja bila ya kutenda dhambi ? Nikiwaambia uislamu haujui hata mtume ni nini mtabisha ?
Isa kwetu sisi waislamu ni nabii na ni mtume pia.
Ndiye mtume pekee aliyezushiwa mambo makubwa na mazito kuliko mitume wote.
Kuna waliyo muita mtoto wa Mungu na kuna waliyomwita ni Mungu hasa, basi kwa ajili hiyo ndiyo maana atarudi ili aje aweke sawa ufahamu kwani hata alipokuja mtume wa mwisho na kuelezea utume wa Isa kuna wengi hawaamini mpaka leo hii, hivyo ni vyema aje mwenyewe ili athibitishe hayo, na kwa kuwa atakuja katika nyakati za mwisho na waliyonyenyekea wanafuata sheria ya mtume Muhammad naye hana budi kufuata sheria hizo, kwani mitume wote ni wanatoka kwa Mungu Mmoja naye ni Allah.

Kwa faida tu ngoja nikueleze ufahamu wetu juu ya nabii na mtume:-

Nabii ni mtu aliyechaguliwa na Allah, akapewa wahyi (ufunuo), ili ajiongoze yeye na watu wake kwa sheria ya Allah.

Mtume ni nabii aliyepewa jukumu maalum la kutumwa kwa watu, mara nyingi akiwa na sheria au kitabu kipya.
 
Kwa hiyo mtume wa mwisho kuja duniani ni Issa siyo Muhammad?
 
Ili uwe muislamu inabidi ufahamu wa kawaida wa kibinadamu ukutoke, No way kitabu kama hiko kinaweza kuaminiwa na mtu mwenye akili zake timamu

China wanazingatia uislamu kama tatizo la afya ya akili
 
Ila kweli 🤣🤣🤣
 
Umesahau kusema huyo Buraq alikuwa ana mabawa.

Yaan ni Mnyama jamii ya punda ila mwenye mabawa na anapaa kwa kasi ya ajabu.

Pia umesahau kusema alivyofika mbinguni . Mtume Mohamed aliwaongoza Ibrahim na Mussa kumsujudia Allah.

Ndio maana nasema hatutakiwi tutumie Logic kwenye hili. Ni iman tu.
😁😁😁😁
 
Kwa hiyo mtume wa mwisho kuja duniani ni Issa siyo Muhammad?
Historia inatuambia nabii Isa alizaliwa zama za mfalme Herode Mkuu (4 KK), aliishi na kutangaza Injili takriban kwa miaka 33, baada ya hapo alichukuliwa na Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa njama za kutaka kusulibiwa na kuuliwa na watu wake kumkataa. Na baina yake na Nabi Muhammad ni takriban miaka 574, kwa muktadha huo ni kuwa mtume wa mwisho kuja ni nabii Muhammad.

Kwa nini nabi Isa arudi tena duniani?

Mayahudi mpaka hivi sasa wao wanamsubiri Masihi wao kama ilivyotabiriwa katika vitabu vyao, na yule Isa mwana wa Mariam aliyezaliwa Bethelehemu wao hawamtambui, na baadhi ya wakristo waliyo wengi wao wanaamini kuwa nabii Isa ni mwana wa Mungu na ni moja kati ya utatu wa Mungu na hadi kufikia kuitakidi kuwa bali yeye ni Mungu mwenyewe. Kwa imani ya kiislamu wanaamini kuwa Isa mwana wa Mariam atarudi tena duniani. Kwa muktadha huu kuna Masihi wa uongo atatokea na kutaka kuwapoteza watu wengi na atawapata watu wengi kumfuata kwani atafanya miujiza ya kiini macho, mpaka pale Masihi wa ukweli Isa mwana wa Mariam atakaposhuka na kumuua huyo masihi wa uongo na hizo ni miongoni mwa dalili za mwisho wa dunia.
 
Kwanz

Nikikuuliza hivi unajibu vitu ambavyo sikukuuliza 🙄 kama sababu za Isa kurudi duniani ni hizo ulizo sema...mbona hata muhammad kakataliwa na waisrael na wakristo na mitume na manabii wengi tu walikataliwa ? Kwanini muhammad naye asirudi kabla ya kiama kuvunja misalaba ? Je isa atakapo rudi hiyo misalaba ataivunja nchi gani na atatumia mamlaka gani je watu watamkubali vipi hadi awe HAKIMU WA HAKI ? kuhusu nabii wa uongo mbona manabii na mitume wa uongo wapo hadi sasa ? Kwani kina Papa ni wakweli ? Upotoshaji wa dini haujawai kukoma duniani upo nyakati zote ....nilikuuliza mtume wa mwisho kuja kabla ya kihama ni nani ukujibu ? Wewe unajibu kishabiki ndiyo maana unakwepa maswali kwa kutoa maelekezo mengi usiyo ulizwa .
 
Tulipumzika na upuuzi wako wa vita ya kidini kipindi JF ikiwa off kwani ulikuwa unaingia kwa vpn ila ulikuwa unapost kidogo kidogo...tupumzishe...
Naona unamajina sijui matano huku; unapost na kujisupport....
 
Kwanz

Nikikuuliza hivi unajibu vitu ambavyo sikukuuliza 🙄 kama sababu za Isa kurudi duniani ni hizo ulizo sema...mbona hata muhammad kakataliwa na waisrael na wakristo na mitume na manabii wengi tu walikataliwa ? Kwanini muhammad naye asirudi kabla ya kiama kuvunja misalaba ? Je isa atakapo rudi hiyo misalaba ataivunja nchi gani na atatumia mamlaka gani je watu watamkubali vipi hadi awe HAKIMU WA HAKI ? kuhusu nabii wa uongo mbona manabii na mitume wa uongo wapo hadi sasa ? Kwani kina Papa ni wakweli ? Upotoshaji wa dini haujawai kukoma duniani upo nyakati zote ....nilikuuliza mtume wa mwisho kuja kabla ya kihama ni nani ukujibu ? Wewe unajibu kishabiki ndiyo maana unakwepa maswali kwa kutoa maelekezo mengi usiyo ulizwa .
Sababu kuu ya Yesu kurudi ni kwa ajili ya Mpinga Kristo.
 
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
“Ndipo huyo mwasi atakapodhihirishwa, ambaye Bwana Yesu atamwangamiza kwa pumzi ya kinywa chake, na kumfanya awe si kitu kwa kufunuliwa kwa kuja kwake.” 2 Wathesalonike 2:8
 
Mfalme Suleimani alipendelewa zaidi, huyu hajasubiria hur al ain wa pepeoni.

1 Fal 11:1

1- Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti, 2- na wa mataifa BWANA aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda. 3- Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
Ungekuwa na uwezo wa kuelewa hata kidogo ungetambua kuwa hiyo nukuu uliyoweka hapa hakuna sehemu imesema Mungu alimruhusu Mfalme kufanya hayo. Na imeonyesha kabisa madhara ya kufanya hayo aliyofanya.
 
Back
Top Bottom