jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,011
Wakuu naomba kufahamishwa ni wapi katika jiji la Nairobi naweza pata mtumba classic(grade A) kwa bei ya jumla?Au kama kuna anayefanya biashara hiyo tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Shukrani sana.
Shukrani sana.