Hao wenye uzoefu wanakuwa wamepata wapi kama hawakufundishwa, kwanini usiwe miongoni mwa walimu ili na wengine wajivunie kupata wenye uzoefu kama wewe unavyofurahia.
yaaah hakuna ubaya ndo unamshughulikia sawasawa mpaka ukimuomba aende kuwasalimia kwao anakataaa katakata ili aendeleee kupewa mkate wa uzima.mabikra nao wakionja bwana, wanakuwaga kama wako kwenye puberty!
nalogoff!
...mkuu leo ndo nimegundua mambo mengi sana, kwanza nimepata majibu ya kwanini nzi hupenda vinavyonuka, pili sababu ya watu wengi kutoka nje ya ndoa maana jasiri haachi asili and vice versa,tatu asili ya moyo wa hatia kwa mwanadamu afanyapo jambo lililo nje ya vile anapaswa haupo tena...! hiii kwangu ni kama research ya moja ya vyanzo vya migogoro ya ndoa...
Kama hujui kesho naja kukuchumbia halafu mimi bikra
SITARAJII MASWALI
Huwa nasikiaga eti sijui wanaingizaga sijui wapi
Mi nashangaaga tu kikojoleo changu kinavimba mara nyingi nikiona maeneo fulani ya wanawake
Na mara nyingi asubuhi huwa kinanisumbua sana
Natumai kwako nitakuwa na uhuru wa kusema kile nisichokijua
CC: Heaven on Earth , Husninyo .....lol!!!!
Ninae wangu ananitosha!!!!!!!!!! anikunja na kunibinua nitakavyo........
Tushirikishe majibu yako na sisi
Una uhakika huyo mzoefu ataridhika na kiwango chako?
Hatari ya takwa lako ni moja, huyo utayempata atakulinganisha na waliopita na ole wako usikidhi viwango alivyowahi kutana navyo...
Kuna uzi nimetoka kuusoma hapa MMU muda si mrefu umewekwa na mtu anajiita 'blogger' akilalama kuwa haiwezekani kuishi pasipo kidumu simply kwa kuwa kaamua kufanya comparison badala ya kurekebisha kile alichonacho...
Mkuu Eiyer unataka kuthibitisha kama ni mimi au Asprin.? Siye huwa tunajua namna ya kutembea kwa usahihi........
Cc tinna cute mekumiss
Duuh! inaonekana wangu simgongi vizuri.. coz sijawahi kumkunja, labda kumbinua aangalie mbele kwa chini..
Hivyo bora upate mali yako "mpya" ujue jinsi ya kutumia ama'?
Aisee
Mbuzi kwenye gunia.
pasina shaka wazinzi utawajua tu ! ikiwa si kwa matendo, maneno,yao na fikra zao zinatosha kuwabaini
utamu wa embe uliondoe ganda mwenyewe! ndipo wawezza linyonya vizuri na kulitafuna upande upande na kuchezesha ulimi pande zote bila kuhofia mate ya mwenzio!
NI MAONI TU WAKUUU