Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

Nifafanulie bana ili nijue!
Au hutaki kutufundisha namna ya kuingiza "mbuzi" zizini sisi tusiojua?

Notes zangu zimeishia hapo....ngoja wengine waje kukufundisha mwe...
 
Notes zangu zimeishia hapo....ngoja wengine waje kukufundisha mwe...

Acha hizo bana
Mbona wanibania mtoto wa mwanamke mwenzio?

Waniacha na maham ujue....lol!!!!!!!!!
 
Kwakweli maishani mwangu nimetoa bikra mbili tena wotd wakiwa high school, but i didn't enjoy at all. Mi kiufupi nataka yule ambaye yuko expirienced, wengine tushazoea hard sex sasa bikra dah..hapana!!
 
Mi niling'atwa shingoni, ila kovu lilishafutikaga. Mtaani walinitania kweli eti oh ''naona una love bite ya kudumu''

Inaonekana kila mtu ana alama ya hii kitu

Inamaana huwataki tena kwasababu ya kuwekewa alama?
 
Kwakweli maishani mwangu nimetoa bikra mbili tena wotd wakiwa high school, but i didn't enjoy at all. Mi kiufupi nataka yule ambaye yuko expirienced, wengine tushazoea hard sex sasa bikra dah..hapana!!
Mkuu inamaana umezoea kuzisimamia kama njenje?[baiskeli]
 
Kifupi mkuu tamaa imetawala akili sana. Watu wanafikiri kwa tamaa na kwa hisia.

What on Earth upate mwanamke Virgin ulalamike? Hizi akili tumepewa za kwendea interview na kuwatumikia waajiri tu sio????? na kuendea counter labda...... Shame!!!!

nimekuelewa.
 
Mkuu chura anyoshi goti hivo lazima aruke kichura!

Mkuu unadhani ni kwanini hata makazini wanahitajika wenye uzoefu?

Kila mtu anaweza kutwanga kinu lakini je unatwangaje ndio hoja!
 
Acha hizo bana
Mbona wanibania mtoto wa mwanamke mwenzio?

Waniacha na maham ujue....lol!!!!!!!!!

Hahaaaa usiniache hoi.......ngoja nitafute notes zingine labda ntazibamba mahali...
 
Kifupi mkuu tamaa imetawala akili sana. Watu wanafikiri kwa tamaa na kwa hisia.

What on Earth upate mwanamke Virgin ulalamike? Hizi akili tumepewa za kwendea interview na kuwatumikia waajiri tu sio????? na kuendea counter labda...... Shame!!!!

Mkuu hebu funguka utuambie ni kwanini ukute bikra usilalamike
Hebu tupe hizo faida za kuwa na mwanamke bikra ili tuelimike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…