M myama sana Member Joined Jul 15, 2019 Posts 17 Reaction score 12 Dec 31, 2021 #1 Habari, nilikua na wazo la kufungua duka la nguo za mtumba za kupoint sasa naomba mwongozo wa jinsi ya kidizaini chumba kiwe na muonekano mweny picha ya muonekano wa chumba
Habari, nilikua na wazo la kufungua duka la nguo za mtumba za kupoint sasa naomba mwongozo wa jinsi ya kidizaini chumba kiwe na muonekano mweny picha ya muonekano wa chumba
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 762 Jan 2, 2022 #2 Njoo tutakuuzia balo. Na kama unataka mtumba mzuri kwa watoto 0-9 years utapata. Tupo mawasiliano