Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
Mume wangu ndo anatoa sio mimi...[emoji276]Scorpion me bado unatoa watu macho?[emoji1]
Loooooh!!!!.......Mbona nakupenda sasa?....ina maana siwezi nikakuiba tukachepuka?[emoji1]Mume wangu ndo anatoa sio mimi...[emoji276]
lol...maajabu ya mungu
Watu kwa kutafuta kiki duuuh
Wakaamua kuedit na kuweka majina yao...
Hahaha ile post itabidi ufatilie hatimiliki....lol...maajabu ya mungu
Ha haaaa....yani nmeshangaa... kumbe kuna njia nyingi za kupata kikiHahaha ile post itabidi ufatilie hatimiliki....
Huogopi kutolewa macho na mume wangu???... Sema ananyea debe sa hii...njoo tu tuchepukeee[emoji4]Loooooh!!!!.......Mbona nakupenda sasa?....ina maana siwezi nikakuiba tukachepuka?[emoji1]
Huogopi kutolewa macho na mume wangu???... Sema ananyea debe sa hii...njoo tu tuchepukeee[emoji4]
Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....Chura ipo?[emoji4]
Lol...huyo chura balaa...asije akafanya watu tukabadili gia angani...Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....
Ipo ya kutosha unakaa wewe,Mtui na hao majamaa hapo juu wanaotafuta kiki...na hamuanguki[emoji23]
[emoji28] ni salama kwa afya usiogope...Lol...huyo chura balaa...asije akafanya watu tukabadili gia angani...
Kapicha please!Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....
Ipo ya kutosha unakaa wewe,Mtui na hao majamaa hapo juu wanaotafuta kiki...na hamuanguki[emoji23]
Heee kumbe we hutoiMume wangu ndo anatoa sio mimi...[emoji276]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....
Ipo ya kutosha unakaa wewe,Mtui na hao majamaa hapo juu wanaotafuta kiki...na hamuanguki[emoji23]