Mtuhumiwa wa Escrow afutiwa mashtaka ,kesi hiyo ambayo bado ilikuwa katika hatua za upelelezi.

Hivi akina Kilaini yule askofu yupo mahakamani?
hivi watz akili zetu zipo sasa kweli tunashabikia waliopewa fedha kufikishwa mahakamani.. kana kwamba kupewa pesa ni kosa. wakati huohuo alietoa yy hata kuhojiwa hajawahi!!
 
Wanajua hakuna fisani ila watu wanatimiza ilani ya chama chao halafu wanajidai kuanzisha mahakama za mafisadi, hovyo kweli.
 

ikumbukwe ruge malila alikwenda kuweka zuio
mahakamani kuzuia hoja za tegeta eskrow zisichukuliwe hatua za kisheria

ni muendelezo wa kuififisha skendo ya tegeta eskrow ili hatua za kisheria zisifuatwe..

Dpp Kaamua kunawa mikono maana mlolongo wa waliopokea mapesa ni zaidi ya watu 20 lakini maahaman kapelekwa mmoja tu.


endapo huyu angechukuliwa hatua ya hukumu, pengine na wale ktk ile orodha ya stabic bank wangekuwa hatiani na kujulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…