Mkuu ukitaka biashara yoyote mwanzoni kama unataka kununua kwa wazalishaji lazima uende mwenyewe ili uwajue na utengeneze nao uaminifu vinginevyo nunua tu wa wauzaji wa jumla.
Pia mbuzi hawezi kusafirishwa kwenda buti la gari, hakuna mmiliki wa gari ama bus atakaekubali maana adhabu yake ni kubwa sana ikibainika.
Mafuta ya kupikia nenda kwanza wewe mwenyewe huko mashambani Singida ili ujue biashara kwa uhalisia wake.