Mtu wa kubadilishana nae simu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,904
Reaction score
9,687
Wakuu mambo vipi? Naitaji mtu wa kubadilishana nae simu mimi natumia samsung galaxy y pro... screen touch and keypad.... single line.... 3G.
Naitaji kubadilishana na smart phone yoyote lakini sio samsung
 
Attachments

  • 1392489618382.jpg
    49.3 KB · Views: 437
Kaweke jukwaa la biashara na uchumi au matangazo madogo madogo mkuu, hapa utasubiri sana
 
Hii naona itkufaa inakila kitu(modern phone).
 
Attachments

  • 1392482133673.jpg
    52.8 KB · Views: 370
Pole sana

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
wakuu mambo vipi? Naitaji mtu wa kubadilishana nae simu mimi natumia samsung galaxy y pro... Screen touch and keypad.... Single line.... 3g.
Naitaji kubadilishana na smart phone yoyote lakini sio samsung

nokia asha x2 itakufaa?
 
Blackberry torch 8010 nipo serious... Isije ikawa ya wizi tuu
 
Wakuu mambo vipi? Naitaji mtu wa kubadilishana nae simu mimi natumia samsung galaxy y pro... screen touch and keypad.... single line.... 3G.
Naitaji kubadilishana na smart phone yoyote lakini sio samsung

Nina Tecno s5 kitu balaa ni zaidi ya Samsung galaxy s4, ni ya mwaka huu mwezi january
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…