umejaribu ku google??maana me nashindwa kukuelewesha vile naelewa...
Bdae ntarudi
ngoja wataalam waje.
Wewe siyo mtalaamu Husninyo??? Nahis hapa kila mwanamke ana cha kusema.
Duuh kaka hapo inabid ujifunze kujua maisha yatakua magumu..tafuta msichana ambae ni rafiki yako wa kawaida tu yule best friend..muulize kiutani tu mkiwa mnapiga story..au www.google.com
Mi nahisi kuwa Romantic ni kupenda kimahaba tu!
....LOVE...
1 Normal love: rafiki na rafiki, mtu na mzazi wake etc.
2 Romantic love: ni mapenzi ya ke & ke wanaoweza kugegedana!!!
...
....Romantic...
Ni hali ya kumjali mwenzio, kumuonesha upendo wa hali ya juu! Kumdekeza, kujishusha, kumpetipeti n.k!
Kugegeda vizuri na kuongea usiku kucha haitoshi kabisaa kuwa na hiyo sifa (romantic)
....
Mara nyingi watu wenye sifa hiyo, huzaliwa nayo!
...
NB: hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu!
akishagoogle arudi hapa afu atuambie yeye kabila gani?amekulia wapi isije akawa yeye ni muraaa wa raraga nikurenge
romantic ndo vidudu gani wewe,.?? Kata mavumba,mwaga chapaa, toa hela,..