Hata mimi ningekuporomoshea mineno michafu manake hueleweki ati. Hebu ona unavyojikanyaga.
Kama ni kijana, halafu kakuzidi umri sana tuuu, ina maana we ni katoto. Kama ni katoto, kwa nini unakuwa na mahusiano na watu wasio rika lako?
Tutoto twa siku hizi kichwani hamna kitu kabisa! Siku aliyokwambia ya moyoni ulichekelea, jana kakwambia ya mdomoni unakuja kushtaki kwa Kongosho, mngekubaliana hayo ya moyoni haya yote yasingetokea.
Hata hivyo pole mwaya, mwenyewe masikio yako yamezoea kudanganywa ye anakupa live, mshenzi sana huyo. Labda niulize tu swali, huyo jamaa mwenyewe ni mbunge wa CCM?
Mjini kuna hekaheka za mtoni yaani.
hahahahaahh hiyo yako mpya best.ss hata kama ni msg hazikuwa za mapenzi hata kidogo kuna kitu nlikuwa nakihitaji mahal flan ss nataka detail zake tuu,ndo hapo matusi nkayaona kama mvuaaaa LARa
nimeshindwa kuongea nae coz anamatusi ka kinyeleo kiko mdomoni
Namfahamu......ila mimi akinitukana namhamishia kifanyio usogoni........
Ingekuwa poa sana kama ungechukua hatua ya kumtumia meseji hyo kwa PM, sms, au huko whatsapp. Au ungempgia mzungumze.
Hayatuhusu. This is your private business.nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi kiumri sana tuu,tulichat mambo ya kawaida sana mpk kufikia kuniambia yaliyomo moyoni mwake.kiukweli nlimchukulia jinsi alivyo wala sikutaka kumkwaza.ila kiukweli jana kanikwaza mpk kufikia kuandika hapa nimeona asome uzi huu aelewe.nimeongea kwa njia ya whatsupp kirafiki na wala si mambo ya mapenzi.ila alinitukana sana tena sana,ninapomaanisha kanitukana ni kweli kanitukana sanaaaa,mpk nalia tuu.mpk ss sijajua kilichompelekea yy kunitusi ghafla ni nn,ni pombe au lah,maana hata sijawahi kukutana nae,just phone,why anitusi wakati sijawahi mvunjia heshima??????sina neno lolote nlilomuambia la kumuudhi kabisa why anitukanie mpk wazazi wangu???????
najua utasoma hapa.mie jana nlikukalia kimya na nkakuambia Mungu akusamehe nami pia nimekusamehe ila usijaribu tena kumtukana mtu mwingine usiemjua.iwe mwisho kwangu....ukinikera ntakuanika ujue.
JIHESHIMU UHESHIMIKE.
thanx
nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi kiumri sana tuu,tulichat mambo ya kawaida sana mpk kufikia kuniambia yaliyomo moyoni mwake.kiukweli nlimchukulia jinsi alivyo wala sikutaka kumkwaza.ila kiukweli jana kanikwaza mpk kufikia kuandika hapa nimeona asome uzi huu aelewe.nimeongea kwa njia ya whatsupp kirafiki na wala si mambo ya mapenzi.ila alinitukana sana tena sana,ninapomaanisha kanitukana ni kweli kanitukana sanaaaa,mpk nalia tuu.mpk ss sijajua kilichompelekea yy kunitusi ghafla ni nn,ni pombe au lah,maana hata sijawahi kukutana nae,just phone,why anitusi wakati sijawahi mvunjia heshima??????sina neno lolote nlilomuambia la kumuudhi kabisa why anitukanie mpk wazazi wangu???????
najua utasoma hapa.mie jana nlikukalia kimya na nkakuambia Mungu akusamehe nami pia nimekusamehe ila usijaribu tena kumtukana mtu mwingine usiemjua.iwe mwisho kwangu....ukinikera ntakuanika ujue.
JIHESHIMU UHESHIMIKE.
thanx
Kesi ya Nyani umepeleka
kwa Ngedere na jaji Tumbili mzee wa baraza ni Komba. Je hapo kuna hukumu
cinderelalove????????????????
unaongea naye wanini
mtu asiyekuwa na adabu achana nae! Unapoteza mda na vocha zako bure!
Kwani marafiki wananunuliwa bwana.... Tupa kuleeeee!!!!
hakuna hukumu kweli best wanashadadia utafikiri kitchen paty
pole ila kama una namba yake ungemtwangia kabisa na ujue sababu afu ungehisi anaendelea ndo ungetuletea kwetu wana MMU
au umemnyima ile kitu roho inapenda ndo maana anakutukana hovyo ka mwendawazimu