Mtu mzima hovyoooooooooo

Mtu mzima hovyoooooooooo

Status
Not open for further replies.

cinderelalove

Senior Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
189
Reaction score
39
nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi kiumri sana tuu,tulichat mambo ya kawaida sana mpk kufikia kuniambia yaliyomo moyoni mwake.kiukweli nlimchukulia jinsi alivyo wala sikutaka kumkwaza.ila kiukweli jana kanikwaza mpk kufikia kuandika hapa nimeona asome uzi huu aelewe.nimeongea kwa njia ya whatsupp kirafiki na wala si mambo ya mapenzi.ila alinitukana sana tena sana,ninapomaanisha kanitukana ni kweli kanitukana sanaaaa,mpk nalia tuu.mpk ss sijajua kilichompelekea yy kunitusi ghafla ni nn,ni pombe au lah,maana hata sijawahi kukutana nae,just phone,why anitusi wakati sijawahi mvunjia heshima??????sina neno lolote nlilomuambia la kumuudhi kabisa why anitukanie mpk wazazi wangu???????

najua utasoma hapa.mie jana nlikukalia kimya na nkakuambia Mungu akusamehe nami pia nimekusamehe ila usijaribu tena kumtukana mtu mwingine usiemjua.iwe mwisho kwangu....ukinikera ntakuanika ujue.

JIHESHIMU UHESHIMIKE.

thanx
 
Hivi kumbe bado enzi hizi kuna urafiki wa penpal!
 
Pole sana,tulia na mpe nafasi ya kukuambia ni kwanini alikutukana,inawezekana akawa na sababu ya kufanya hivyo.
 
pole ila kama una namba yake ungemtwangia kabisa na ujue sababu afu ungehisi anaendelea ndo ungetuletea kwetu wana MMU
au umemnyima ile kitu roho inapenda ndo maana anakutukana hovyo ka mwendawazimu
 
mhm ss si aombe kwa ustaarabu?????nimeongea nae jana bado anatukana tuu yan ka vile mwenda wazimu flan sijui kachanganyikiwa
 
He!.....ina maana huyo mtu yumo humu humu JF......yani na yeye ni great thinker.......?
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! Wamlaumu bureeee! Hujastuka tu sio yeye ni demu wake ndo alikwa ana text!

Im guilty of that crime tooo! Nikikuta utratra kwenye simu ya bwana wangu nakariri namba nasubiri kama 2 to 3 days hivi. Akizubaa au akiingia kuoga naiba simu, nashusha gharika la mitusi. Afu nafuta sms zote, record zote, poteza ushahidi wote. Afu kimyaaa nakula cobis tu. Kama sio mimi.

Nina uhakika hawatakaa waelewane maishaaaa yao! Huyu kanuna ghafla, huyu anaona anaanza kletewa mapoz! Shen.zy type! Mnataka mnichakachue mimi!!!!!!!!! Alaaaaaaaaaaaaa! Ndo nimewapa kitu hicho, KIDOGO LAKINI KIZITOOOOOOO!!!!!!!!!!
 
mhm ss si aombe kwa ustaarabu?????nimeongea nae jana bado anatukana tuu yan ka vile mwenda wazimu flan sijui kachanganyikiwa
Mwenzio katoroka Milembe kumbe wewe upo naye ngoja tuwakamate wote kwan rafiki wa chizi naye ni chizi wanaongea lugha moja
 
acha tuu preta unaweza ukaongea na mtu humu ukafikiri ni great thinker kumbe........
 
hahahahaahh hiyo yako mpya best.ss hata kama ni msg hazikuwa za mapenzi hata kidogo kuna kitu nlikuwa nakihitaji mahal flan ss nataka detail zake tuu,ndo hapo matusi nkayaona kama mvuaaaa LARa
 
Mwenzio katoroka Milembe kumbe wewe upo naye ngoja tuwakamate wote kwan rafiki wa chizi naye ni chizi wanaongea lugha moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom