cinderelalove
Senior Member
- Feb 23, 2013
- 189
- 39
- Thread starter
- #21
preta nina wasi wasi kama vile unamjuaaa hahahahahah
preta nina wasi wasi kama vile unamjuaaa hahahahahah
aahhahahhahah bora ulivojibu fasta!Ameniambia wewe ndiye uliyeanza kumfuata fuata na vineno vya mapenzi wakati yeye ana wake.
Halafu na mizinga juu, ili kutuliza mzuka wako akaamua kukupa tusi dogo tu usimfuatefuate.
Msinirushie mawe miye mjumbe tu!!
mhm ss si aombe kwa ustaarabu?????nimeongea nae jana bado anatukana tuu yan ka vile mwenda wazimu flan sijui kachanganyikiwa
nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi kiumri sana tuu,tulichat mambo ya kawaida sana mpk kufikia kuniambia yaliyomo moyoni mwake.kiukweli nlimchukulia jinsi alivyo wala sikutaka kumkwaza.ila kiukweli jana kanikwaza mpk kufikia kuandika hapa nimeona asome uzi huu aelewe.nimeongea kwa njia ya whatsupp kirafiki na wala si mambo ya mapenzi.ila alinitukana sana tena sana,ninapomaanisha kanitukana ni kweli kanitukana sanaaaa,mpk nalia tuu.mpk ss sijajua kilichompelekea yy kunitusi ghafla ni nn,ni pombe au lah,maana hata sijawahi kukutana nae,just phone,why anitusi wakati sijawahi mvunjia heshima??????sina neno lolote nlilomuambia la kumuudhi kabisa why anitukanie mpk wazazi wangu???????
najua utasoma hapa.mie jana nlikukalia kimya na nkakuambia Mungu akusamehe nami pia nimekusamehe ila usijaribu tena kumtukana mtu mwingine usiemjua.iwe mwisho kwangu....ukinikera ntakuanika ujue.
JIHESHIMU UHESHIMIKE.
thanx
aahhahahhahah bora ulivojibu fasta!
si nilikuwa najua ni wewe!
:behindsofa:
salama lakini mtani!???
nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi kiumri sana tuu,tulichat mambo ya kawaida sana mpk kufikia kuniambia yaliyomo moyoni mwake.
Usituletee mambo ya diamond na wema hapa. Hii siyo clouds fm.
napita.......