Mtu mweusi aokoa maisha ya mzungu

Mtu mweusi aokoa maisha ya mzungu

hhhhhhh
Huyu mzungu alikuwa ameumia kwani?
Na yeye anaona raha kubebwa, kalegea kabisa. Smh.
Si ashuke akimbie? Maana kama hakuwa ameumia sidhani kama kubebwa ilikuwa ni njia ya kuokoa maisha yake.
 
Maneno ya khanga unayajua ukiyaona, lakini hili limekushinda.
Sio tatizo langu, potezea.
Hannah inaelekea huko nyumbani kwako ..Shem wetu mkizinguana huwa unampiga vitasa
 
dadeq

hapo mzungu atanawa na jiki,omo na chochote kinachotakasa

wabaguzi ni washenzi huwa hawabadiliki,sawa tu na alkaida au kundi la uamsho
 
dadeq

hapo mzungu atanawa na jiki,omo na chochote kinachotakasa

wabaguzi ni washenzi huwa hawabadiliki,sawa tu na alkaida au kundi la uamsho

Uamsho wameingiaje tena hapo, au wewe ndio mbaguzi kuliko hata wazungu?
 
Back
Top Bottom