Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,803
Wazungu watatafsiriwa😂😂😂KWENYE jarida la ADVERTISINGDAR la ijumaa, Kuna binti kapost tangazo lake la maombi ya kazi kwa Kiswahili
"Natafuta kazi yoyote nyumbani kwa mzungu"
Wazungu watatafsiriwa😂😂😂KWENYE jarida la ADVERTISINGDAR la ijumaa, Kuna binti kapost tangazo lake la maombi ya kazi kwa Kiswahili
"Natafuta kazi yoyote nyumbani kwa mzungu"
Sijaelewa unataka kusema nini.Kwahiyo mtu asiyejua kiswahili kwako ni mjanja?
Aisee.
Umeelewa sana tu. Kwani haujui kiswahili?Sijaelewa unataka kusema nini.
Kuelewa lugha na kuelewa maudhui ni vitu viwili tofauti.Umeelewa sana tu. Kwani haujui kiswahili?
Maneno ya khanga unayajua ukiyaona, lakini hili limekushinda.Kuelea lugha na kuelewa maudhui ni vitu viwili tofauti.
Umedakia comments zisizo zako.Maneno ya khanga unayajua ukiyaona, lakini hili limekushinda.
Sio tatizo langu, potezea.
Kwani ameumia?
Nipo.
Unamsingizia Don hajamaanisha hivyo.Jamaa ana maanisha uchangamkie hilo dili la kuolewa na mzungu.
Unamsingizia Don hajamaanisha hivyo.
Halafu huyu mzungu chuki za ubaguzi zipo kwenye damu haujaona Don? Kipindi ambacho wenzake wanaungana na weusi kupinga ubaguzi, yeye zinamkera, anashindwa kuvumilia anawavamia waandamaji na kuonesha ubaguzi wazi wazi.
Ni ngumu kubadilika.
Huyo mzungu akipona atatafuta mwanamke wa kiafrika ili amuoe kuonyesha hana tena roho ya kibaguzi.
Paula paul upo???
kumbe maneno ya khanga unayajua, nilifikiri kiswahili hukijui.
Ni tafsiri mbovu ya cold blooded, alitakiwa kusema "kuua kinyama".
Acha ukorofi Don. Hakumaanisha lakini Paula achangamkie fursa. Au Mokaze ndivyo ulivyomaanisha?
Nafahamu mkasa wake A to Z.Wangapi mnamfahamu huyu.. Ukijua habari zake utamjua mzungu ni nani View attachment 1480908
I'd rather die single....(kidding).Hapo alikuwa kama anakupa tip, kwamba ujiongeze mwenyewe.
I hope uko powa, nakusalimia.
I'd rather die single....(kidding).
Nipo poa, umepotea sana.
Kwa physical appearance ya huyo mzungu either alikua amelewa au ameumia maana unaona mwekundu sana ,hali ambayo si ya kawaida kihivyo. Hawa wenzetu wengi wao wana ubaguzi wa kutoka utotoni, worse enough ni kwamba wanatumiwaKwani ameumia?
Nipo.