Mtu mwenye mtaji wa kiasi cha milioni 30 hawezi kujiari mwenyewe??

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe
 
Ujasiriamali bongo ndugu yangu ngumu sana kutoka..na tena hiyo ni professional! Kama amezoea kuajiriwa hata km atakuwa na mtaji wa milioni 100 kwa bongo yetu aendi kokote...Ushauri wangu endelea na kazi yako ya benki..mbona nzuri km unaweza save milioni 30!
 
hizo hela hajapata kazini amepewa na ndugu zake eli aweze kufanya biashara,yupo kazini mwaka wa 4 ila mshahara wake wote unaishiya chakula na nauli ya kwenda kazini na kurudi , ndio maana antaka kujaribu biashara kazi za kuajiriwa inachukuwa muda wake mwengi sana massa 12 kwa ciku baado ya foleni barbrani masaa 3 kwa ciku
 
Anaweza sema inategemea na nn anapenda Kufanya

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe

mwambie atembelee JF au we msaidie ...kuna jukwaa la ujasirimali... mkikosa wzo huko wekeni hiyo hela fixed account....
 
Atulize kichwa hizo pesa zisimpe kiwewe, kubuni wazo la biashara aangalie watu wanahitaji nini kwa sasa na kama ana uwezo wa kuwapatia. Lakini kama anafanyakazi kwa mtaji huo microfinance institution is very possible. Atulie tu...................
 
Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe

Ni maamuzi mazuri na kamwe hawezi kujutia. tatizo la watanzania wengi hawapendi kujaribu.,bado wanayo dhana kichwan kwao za kutaka kuendelea kuajiriwa,wakati bado kuna opportunity nyingi sana huku mtaan. tafadhali kwa ushauri zaidi nenda jukwaa la Bussines pale kuna thread moja nimeitoa inayofanana na yako angali ipo jikoni inaendelea kujadiliwa na Great thinkers. hop tutaondoka na kitu
 
Back
Top Bottom