Mtu Muhimu Sana Maishani Mwako

Mi kwakuwa nimeshindwa kumchagua mmoja kati ya baba yangu, mama, yangu, mke wangu, na mabinti zangu wawili.

Na kwakuwa alkoholi ndiyo faraja yangu kuu na rafiki yangu kipenzi.

Basi mtu muhimu kwa sasa ni yule binti wa kaunta pale Etiennes Club. (Chaguo hili ni subjected to change kutegemea na hali halisi na wepesi wake wa kuniongezea kinywaji baridi)

hehehehe mkuu, hii ni besti kwoti ya JF for 2010, nitahakikisha unapata award kwa hii yuziful post.
 
Definitely my dad.

But since he is not here with me no more then that honor goes to the most beautifullest girl in the whole wide world - my baby, my dill pickle, my princess, and my all and all.
 
Definitely my dad.

But since he is not here with me no more then that honor goes to the most beautifullest girl in the whole wide world - my baby, my dill pickle, my princess, and my all and all.

Hahahaha arif hii makitu ya zamani Lizzy ako wapi,?
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu aliye karibu na wewe ana umuhimu, kila mmoja kwa kiasi chake.

Swali linakuja je, MTU GANI NI MUHIMU KULIKO WOTE MAISHANI MWAKO??

Uko tayari kumlinda kwa lolote?:fencing:
Uko tayari kufa kwaajili yake?:rip:

Na kama angekua tofauti na alivyo (tabia,sura,elimu,n.k)/au akibadilika bado atakua na umuhimu alio nao maishani mwako?:A S thumbs_up:

Baba,mama na watoto wangu wawili..na wana JF
 
Back
Top Bottom