Rlechas_3a60
Member
- Oct 4, 2018
- 12
- 27
Naunga mkonoUbaguzi huo, hakuna ukuu bila mzungu. Bob Marley, ni chotara; baba 'nzungu' mama "nyeusi". Wote uliowaorodhesha wamefanya vema chini ya kivuli cha mzungu. Mansa kani Musa, biashara ya utumwa na mwingiliano na wageni (weupe) ndivyo vilivyo mtajirisha kwani dhahabu na watumwa aliwauzia wageni weupe kwa wingi. Hivyo kumpa mtu tumaini kwa misingi ya rangi, utaifa, ni ubaguzi duni.
Huo weusi unakusaidia nini?? Acha ubaguzi
Ubaguzi huo, hakuna ukuu bila mzungu. Bob Marley, ni chotara; baba 'nzungu' mama "nyeusi". Wote uliowaorodhesha wamefanya vema chini ya kivuli cha mzungu. Mansa kani Musa, biashara ya utumwa na mwingiliano na wageni (weupe) ndivyo vilivyo mtajirisha kwani dhahabu na watumwa aliwauzia wageni weupe kwa wingi. Hivyo kumpa mtu tumaini kwa misingi ya rangi, utaifa, ni ubaguzi duni.
Unamfahamu Aleister Crowley[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]natamani labla ya kufa niwe mchawi mkuu wa dunia[emoji144][emoji848][emoji144][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Nijikubali mara ngapi? Maana hata herufi ninazotumia kuwakilisha fikra zangu hapa ni ubunifu wa mtu mweupe. Nakataa kabisa kudanganyana na kutiana mioyo kwa misingi ya utofauti tulionao, katika kimo, rangi, lugha mama, na hata imani za matambiko. Hakuna siku ambayo mtu atafanikiwa milele kwa kuendekeza ubaguzi, maana ni sawa na ujangili wa kifikra. "... LET US COME TOGETHER AS ONE!" : Lucky Dube.Jikubali kwanza mkuuu naona ww akili zako zimeshikiliwa na mabeberu ..Mbona hata sisi tunaweza kwani hao weusi waliwwza kwa juudi zao tu wala sio kivuli