Mtu maarufu na mwenye jina kubwa

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
Taja jina la mtu yeyote ambaye unahisi kuwa alikuwa ni mtu maarufu na alikuwa na jina kubwa enzi hizo au hata mpaka sasa. Karibu tuwajue watu na sifa za matendo yao, mimi naanza na ADOLF HITLER aliyeikamata Dunia kwa dakika kadhaa....wewe je??!
 
Hitler aliikamataje dunia kwa dakika kadhaa
masai dada humjui Dikteta Adolf Hitler? Adolf Hitler ni mtawala maarufu zaidi katika karne ya ishirini, kiongozi wa chama cha kinazi aliyeitawala ujerumani kati ya mwaka 1934 mpaka 1945. kama ulikuwa hujui Hitler ndiye mwanzilishi mkuu wa vita ya pili ya Dunia.
 
YIP MAN

huyu jamaa alikuwa anagawa dozi ile mbaya china huko
na ndie aliyemfundisha bruce lee
 
Back
Top Bottom