Mtu gani maarufu amekublock?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,890
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.

Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?

Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa ICU.

Vipi wewe, uliblockiwa na mtu gani maarufu?
 
Dah, nyuzi za siku hizi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…