Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,886
- 155,869
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Na wewe kabla hujafanya kitu huwa unamuuliza...??? Nyie ndo ambao huwa mnaishia kwenye uchumba tu, kuolewa huwa ni ngumu kwa mitabia yenu hiii...Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Na upande wako???!!!!
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
mabwana WA Kichagga kwani mi nawataka??
na wewe kabla hujafanya unamuuliza kwanza?Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
mabwana WA Kichagga kwani mi nawataka??
Kumbe ndo hivyo,kwani huyo diwani aliambiwa nini na mke wake akakaidi ndo yakamkuta yakumkuta?Mtu ambaye haisikii sauti ya mkewe
kamwe hawezi kuitii sauti ya
wazazi wake mwenyewe waliomleta
duniani..
Tukumbuke kuwa wenzi wetu ni ubavu wetu... ni zaidi ya ndugu wa damu moja na ni zaidi ya rafiki wapenzi.Pia tukumbuke kuwa wazazi ni MIUNGU yetu wa duniani. Tusipowasikiliza tutakosa baraka za MUNGU wa mbinguni. MUNGU wa Isaka, Yakobo na Bujibuji
mabwana WA Kichagga kwani mi nawataka??
Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandaniEnheee, shosti umenigusa ndipo manake nilikua nataka kujua tabia zao Kama unawafahamu hawa watu tafadhali. Nimuhimu sana kwani mdogo wangu Yuko na mchagga huyu jamaa sijaona ubaya wake lakini ningependa kujua zaidi...
Na wewe kabla hujafanya kitu huwa unamuuliza...??? Nyie ndo ambao huwa mnaishia kwenye uchumba tu, kuolewa huwa ni ngumu kwa mitabia yenu hiii...