Mtu asiyemsikiliza mkewe/ mumewe wa ndoa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,271
Mtu ambaye haisikii sauti ya mkewe
kamwe hawezi kuitii sauti ya
wazazi wake mwenyewe waliomleta
duniani..
Tukumbuke kuwa wenzi wetu ni ubavu wetu... ni zaidi ya ndugu wa damu moja na ni zaidi ya rafiki wapenzi.Pia tukumbuke kuwa wazazi ni MIUNGU yetu wa duniani. Tusipowasikiliza tutakosa baraka za MUNGU wa mbinguni. MUNGU wa Isaka, Yakobo na Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
 
Mim mpenzi wangu hajanioa lakin nikikataa kitu hafanyii,na akitaka kufanya kitu mpaka aniulizee,bila ya hivyo panachimbikaa
Na wewe kabla hujafanya kitu huwa unamuuliza...??? Nyie ndo ambao huwa mnaishia kwenye uchumba tu, kuolewa huwa ni ngumu kwa mitabia yenu hiii...
 
Jamani kuna wanaume wengine ni wabishi,hata akikosa haombi msamaha hasemi nisamehe nimekosa, kubwa atanunua zawadi akupe,yani kusema Samahani tena sio kwa mtu mwengine Bali mkeo lakini sijui watu Kama hawa uhisi kumuomba msamaha mkewe au mpenzi wake hatokua mwanamme tena......
 
mabwana WA Kichagga kwani mi nawataka??

Enheee, shosti umenigusa ndipo manake nilikua nataka kujua tabia zao Kama unawafahamu hawa watu tafadhali. Nimuhimu sana kwani mdogo wangu Yuko na mchagga huyu jamaa sijaona ubaya wake lakini ningependa kujua zaidi...
 
Mtu ambaye haisikii sauti ya mkewe
kamwe hawezi kuitii sauti ya
wazazi wake mwenyewe waliomleta
duniani..
Tukumbuke kuwa wenzi wetu ni ubavu wetu... ni zaidi ya ndugu wa damu moja na ni zaidi ya rafiki wapenzi.Pia tukumbuke kuwa wazazi ni MIUNGU yetu wa duniani. Tusipowasikiliza tutakosa baraka za MUNGU wa mbinguni. MUNGU wa Isaka, Yakobo na Bujibuji
Kumbe ndo hivyo,kwani huyo diwani aliambiwa nini na mke wake akakaidi ndo yakamkuta yakumkuta?
 
Enheee, shosti umenigusa ndipo manake nilikua nataka kujua tabia zao Kama unawafahamu hawa watu tafadhali. Nimuhimu sana kwani mdogo wangu Yuko na mchagga huyu jamaa sijaona ubaya wake lakini ningependa kujua zaidi...
Wachagga wana wivu Sana, nadhani kwa sababu ya poor performance waliyo mayo kitandani
 
Na wewe kabla hujafanya kitu huwa unamuuliza...??? Nyie ndo ambao huwa mnaishia kwenye uchumba tu, kuolewa huwa ni ngumu kwa mitabia yenu hiii...

Keshanitolea mahali bado ndoaaa tu, na mm kabla sijafanya kitu lazma nimwambie akigoma sifanyi tunasikilizanaw
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom