MTU ASIPOTAKA KITU UTAJUA TU!
Girl: Baby kila siku wenzangu wanapelekwa out na bby zao mara Serengeti, mara Zanzibar kwann wewe hunipeleki?
Boy: Wiki hii nitakupeleka
Girl: Waoo bby asante, umeplani kunipeleka wapi?
Boy: Mapango ya Amboni Tanga.
Girl: Nyooo kafe mwenyewe!