Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mtu yeyote anayetuhumiwa na kushtakiwa mahakamani ana haki ya kupata Wakili hata kama anatuhumiwa kwa mauaji. Hii ni kwa sababu tuhuma peke yake hazimuweki mtu hatiani (a mere suspicion can not convict somebody to be guilt). Mtuhumiwa sio mkosaji hadi pale mahakama itakapotoa hukumu. Ndio maana kuna watu wanatuhumiwa na wakifikishwa mahakamani wanaachiwa huru kwa kuonekana hawana hatia.
Kila mtuhumiwa ana haki ya kisheria ya presumption of innocence until proven guilt by cou...rt of Law. Sasa unamshangaaje Lissu kumtetea Wema? Tena mtu anabana pua kama mgonjwa wa ndui eti Lissu anamtetea mtumiaji madawa ya kulevya. Yani watu wengine huhitaji degree kujua walikosa chanjo utotoni. Yani umeshamhukumu Wema kuwa ni mtumiaji wa dawa za kulevya kabla hata mahakama haijasikiliza kesi??
Yani unadhani watuhumiwa wa madawa ya kulevya hawahitaji mawakili wa kuwatetea? Kama watuhumiwa wa mauaji wanatetewa sembuse wa madawa? Eti watu wanajaribu kumfundisha Lissu Sheria. Mna wazimu?? Lissu huyuhuyu gwiji wa sheria aliyemtetea Rais Zuma kwenye tuhuma za kubaka na Zuma akashinda kesi? Lissu huyuhuyu ambaye akikosekana bungeni siku moja mambo yote ya kisheria yanakwama?
Lissu huyuhuyu ambaye hadi Rais wa nchi anamhofia kugombea TLS? Ndo aje afundishwe sheria na wewe uliyesomea kozi ya mapishi ya miezi sita hapo Yombo Buzza kwa mama Kibonge?? U cant be serious brother. Amin, amin nakuambia ukiacha mlima Kilimanjaro, ukiacha madini ya Tanzanite, ukiacha Mbuga za wanyama, kitu kingine kikubwa cha kujivunia Tanzania ni Tundu Antipas Lissu. Plz be informed.!
Malisa GJ