Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,426
chukua hatua mkuu! unaweza kushuka siku moja ukamwonda na kumeelimisha hatari ya kuomba barabarani
Kuna ndugu yake mmoja kila wakati alikuwa anakuja kumtoa kwa bakora pale. Naona atakuwa kashachoka. Ule uchizi utakuwa umesababishwa na bange au sembe. Sio wa kuzaliwa nao ule.