Mtu anayekaa katikati ya Barabara pale Victoria

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,696
Reaction score
6,045
Habari zenu wakuu!huwa nasikitika sana kila wakati nikiwa napita hapa maeneo ya Victoria unamkuta mtu kakaa katikati ya barabara huku akiomba na pia inaonekana ana matatizo ya akili.
Je hakuna mamlaka zinazousika kuakikisha usalama wake !na waendesha Magari!
Mimi kama mzazi kama kuna wahusika basi wasaidie kumwondoa huyu mtu ili kutoatarisha maisha yake na watu wengine.Ni hayo tu
 
1383758694041.jpg
1383758732827.jpg
mia
 
UPOPO nilifikiri .ni askari barabarani....
 
Last edited by a moderator:
kuanzia saa sita usiku hadi kumi na moja usiku kuna mambo mazito yanaendelea hapo na maeneo mengine... kiri imani yako kabla ya safari
 
Habari zenu wakuu!huwa nasikitika sana kila wakati nikiwa napita hapa maeneo ya Victoria unamkuta mtu kakaa katikati ya barabara huku akiomba na pia inaonekana ana matatizo ya akili.
Je hakuna mamlaka zinazousika kuakikisha usalama wake !na waendesha Magari!
Mimi kama mzazi kama kuna wahusika basi wasaidie kumwondoa huyu mtu ili kutoatarisha maisha yake na watu wengine.Ni hayo tu

Mkuu, this's a real concern!
Sijui mamlaka ziko wapi, Au siko likizo Au zimelala!
Huyu jamaa anakuwepo hapo hadi usiku.
Kwa kweli anahatarisha usalama wake Na usalama Wa watumiao hii barabara. Barabara yenyewe ni highway na haina taa!
 
Huyu anataka kutupa watu kesi..nilimuona juzi nikipita mitaa ya Morocco airtel..taa zimeruhusu kucheki mbele kitu hicho na nguo hizo hizo
 
bro hapo ndo ofithini kwangu thatha unataka mi nile wapi?
na ole wake atakayenigonga na gari lake ndo atanijua mimi ni nani na nimeletwa na nani..
 
hahaha! figganigga unatisha! huyu jamaa akili haziko sawa lakini nashangaa anapataje tena akili akae katikati ya barabara kama mlemavu ili aonewe huruma.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu!huwa nasikitika sana kila wakati nikiwa napita hapa maeneo ya Victoria unamkuta mtu kakaa katikati ya barabara huku akiomba na pia inaonekana ana matatizo ya akili.
Je hakuna mamlaka zinazousika kuakikisha (sahihi kusema KUHAKIKISHA) usalama wake na waendesha magari!
Mimi kama mzazi kama kuna wahusika basi wasaidie kumwondoa huyu mtu ili kutoatarisha (Sahihi kusema KUTOHATARISHA) maisha yake na watu wengine.Ni hayo tu

Wakati naanza kusoma ujumbe huu kuna kiswahili cha sasa hivi ukisoma kinakereketa sana nilidhani ni mwanafunzi wa shule ya msingi kumbe ni "Mzazi" ajirekebishe kiswahili chake katika maandishi mekundu niliyoya ahinisha, isimaanishe mimi najua sana kiswahili la hasha tunaelekezana tu. Samahani lakini
 
ingekuwa ni zama zile za analogia tungesema ni project ya tiss.huyo ni chizi tu wa kawaida.aondolewe haraka iwezekananyo kabla cjamgonga na guta langu.
 
Habari zenu wakuu!huwa nasikitika sana kila wakati nikiwa napita hapa maeneo ya Victoria unamkuta mtu kakaa katikati ya barabara huku akiomba na pia inaonekana ana matatizo ya akili.
Je hakuna mamlaka zinazousika kuakikisha usalama wake !na waendesha Magari!
Mimi kama mzazi kama kuna wahusika basi wasaidie kumwondoa huyu mtu ili kutoatarisha maisha yake na watu wengine.Ni hayo tu
chukua hatua mkuu! unaweza kushuka siku moja ukamwonda na kumeelimisha hatari ya kuomba barabarani
 
Wakati naanza kusoma ujumbe huu kuna kiswahili cha sasa hivi ukisoma kinakereketa sana nilidhani ni mwanafunzi wa shule ya msingi kumbe ni "Mzazi" ajirekebishe kiswahili chake katika maandishi mekundu niliyoya ahinisha, isimaanishe mimi najua sana kiswahili la hasha tunaelekezana tu. Samahani lakini

ahinisha ××××××
ainisha √√√√√√√√√
 
Back
Top Bottom