Mtu ambae anajua sehemu pooltable linauzwa aniambie

Mtu ambae anajua sehemu pooltable linauzwa aniambie

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
553
Reaction score
659
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naomba msaada wa kunitaftia pooltable syo lazma liwe jipya hata used mm nanunua ili mradi tukubaliane bei
 
Yaa!
Riverside z the home of them.
Nadhan desgn yoyote unayotaka utapata
 
Napatkana Njombe
Hapo itabidi uje dar hapo ubungo Riverside ulipoelekezwa na wachangiaji wengine.
Hapo ndio utakuwa na uhakika wa usalama wa pesa yako.
Kuhusu Bei ziko nyingi kutokana na aina na upya wa hiyo pooltable utakayokutana nayo kwa sababu huwa wanauza mpya na zingine used.
Ila huwa zinaanzia 1.2m Hadi 1.9m.
 
Back
Top Bottom