Anaweza kuwa hata hakimu mfawidhi. Upate tu mkono wenye mamlaka bhassssHivi mtu aliyesoma Community development yaani maendeleo ya jamii anaweza kuwa afisa takukuru?
Naomba kujuzwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa banaAkiwa na kadi ya CCM anaweza hata kuwa Engineer wa TARURA.
comment hii itolewe copy na iwekewe laminationAkiwa na kadi ya CCM anaweza hata kuwa Engineer wa TARURA.
TAKUKURU inachukuwa kada zoteHivi mtu aliyesoma Community development yaani maendeleo ya jamii anaweza kuwa afisa TAKUKURU?
Naomba kujuzwa
Maisha ni connections sehemu yoyote ile kama kuna mtu anakufahamu basi kila kitu kitaenda sawaHivi mtu aliyesoma Community development yaani maendeleo ya jamii anaweza kuwa afisa TAKUKURU?
Naomba kujuzwa