T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,966 Reaction score 15,786 Dec 1, 2024 #121 dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,743 Reaction score 40,444 Dec 1, 2024 #122 Kuku akifa anaenda wapi?!
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,171 Dec 1, 2024 #123 Tuseme chochote chenye uhai kikifa kinaenda wapi?