MTU AEKE CLARIFICATION HAPA

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
Mwenye uzoefu na risasi inaeza kukona hivi ikipgwa juu? Au askari wetu wanatuona mabwege
 
Hujasikia kuwa waandamanaji walikuwa ana silaha za moto na za asili?
 
Mwenye uzoefu na risasi inaeza kukona hivi ikipgwa juu? Au askari wetu wanatuona mabwege

Physicists wanatakiwa kukaa chini tena na kuchunguza motions na gravity hasa katika namna ya ufyatuaji wa bunduki wa askari polisi wa Tanzania.
 
Physicists wanatakiwa kukaa chini tena na kuchunguza motions na gravity hasa katika namna ya ufyatuaji wa bunduki wa askari polisi wa Tanzania.
For real, imenipa headache sana... Maana ilimkwatua konda ikaenda kumpga huyu marehem na ilipitia mbele ya gar, ikaua mtu alokaa back bench, hii ilipgwa juu kweli?
 
Kipanya ni mtu mmoja mwenye akili sana aisee, yaan namfananisha na James gayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…