MTU AEKE CLARIFICATION HAPA

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
896
566
Mwenye uzoefu na risasi inaeza kukona hivi ikipgwa juu? Au askari wetu wanatuona mabwege
f65dfa8c044bcca911be6b6a04967cfa.jpg
 
Physicists wanatakiwa kukaa chini tena na kuchunguza motions na gravity hasa katika namna ya ufyatuaji wa bunduki wa askari polisi wa Tanzania.
For real, imenipa headache sana... Maana ilimkwatua konda ikaenda kumpga huyu marehem na ilipitia mbele ya gar, ikaua mtu alokaa back bench, hii ilipgwa juu kweli?
 
Back
Top Bottom