jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 3,258
- 4,362
Kuna jamaa mmoja nadhani alikuwa anaishi Mbezi Beach. Alileta Kashi Kashi sana pale ward ya Mwaisela, Muhimbili. HAWAKUJUA ALAZWE WODI ZA AKINA MAMA AU WANAUME. Alibadirisha jinsia. Nadhani alikuwa mtu wa Arusha au Moshi. Alitangulia kwenye haki...
Huyu nilimuona kwa macho yangu, alikuwa mwanamke kabisaaa baada ya surgery. Chembambaa, cheupee.. Na sura nzuri ya kike. Jamani ndugu zake walikuwa wanataniwa!! Akipita wanaambiwa ''dada yenu huyo anapita'', wakati hapo wamezaliwa madume matupu. Dunia ndo inajiishia hivi